Mika 1:13 - Swahili Revised Union Version13 Mfungie gari la vita farasi Aliye mwepesi, wakazi wa Lakishi; Alikuwa mwanzo wa dhambi kwa binti Sayuni; Maana makosa ya Israeli yameonekana kwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Enyi wakazi wa Lakishi, fungeni farasi wepesi na magari ya vita. Nyinyi mlikuwa mmeiga dhambi ya watu wa Siyoni, makosa ya Waisraeli yalikuwa kwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Enyi wakazi wa Lakishi, fungeni farasi wepesi na magari ya vita. Nyinyi mlikuwa mmeiga dhambi ya watu wa Siyoni, makosa ya Waisraeli yalikuwa kwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Enyi wakazi wa Lakishi, fungeni farasi wepesi na magari ya vita. Nyinyi mlikuwa mmeiga dhambi ya watu wa Siyoni, makosa ya Waisraeli yalikuwa kwenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Enyi mnaoishi Lakishi, fungeni farasi kwenye magari ya vita. Mlikuwa chanzo cha dhambi kwa Binti Sayuni, kwa kuwa makosa ya Israeli yalikutwa kwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Enyi mkaao Lakishi, fungeni farasi kwenye magari ya vita. Mlikuwa chanzo cha dhambi kwa Binti Sayuni, kwa kuwa makosa ya Israeli yalikutwa kwako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Mfungie gari la vita farasi Aliye mwepesi, wakazi wa Lakishi; Alikuwa mwanzo wa dhambi kwa binti Sayuni; Maana makosa ya Israeli yameonekana kwako. Tazama sura |
Mfalme wa Ashuru akawatuma jemadari wake, na mkuu wa matowashi, na kamanda wake, toka Lakishi, kwa mfalme Hezekia huko Yerusalemu, pamoja na jeshi kubwa. Nao wakakwea wakafika Yerusalemu. Na walipokwisha kufika, wakaja wakasimama karibu na mfereji wa birika la juu, lililo katika njia kuu ya kuuendea Uwanda wa Dobi.