Mika 1:11 - Swahili Revised Union Version11 Piteni; njia yenu, wakazi wa Shafiri, mkiwa uchi na wenye aibu; Wakazi wa Saanani msitokeze nje; Beth-eseli unalia na ataondoa msaada wake kwenu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Nendeni enyi wakazi wa Shafiri, mkiwa uchi na wenye haya. Wakazi wa Zaanani msitoke nje ya mji wenu. Watu wa Beth-ezeli wanalia; msaada wao kwenu umeondolewa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Nendeni enyi wakazi wa Shafiri, mkiwa uchi na wenye haya. Wakazi wa Zaanani msitoke nje ya mji wenu. Watu wa Beth-ezeli wanalia; msaada wao kwenu umeondolewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Nendeni enyi wakazi wa Shafiri, mkiwa uchi na wenye haya. Wakazi wa Zaanani msitoke nje ya mji wenu. Watu wa Beth-ezeli wanalia; msaada wao kwenu umeondolewa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Piteni mkiwa uchi na wenye aibu, ninyi mnaoishi Shafiri. Wale wanaoishi Saanani hawatatoka nje. Beth-Eseli iko katika maombolezo; kinga yake imeondolewa kwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Piteni mkiwa uchi na wenye aibu, ninyi mkaao Shafiri. Wale waishio Saanani hawatatoka nje. Beth-Eseli iko katika maombolezo; kinga yake imeondolewa kwako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Piteni; njia yenu, wakazi wa Shafiri, mkiwa uchi na wenye aibu; Wakazi wa Saanani msijitokeze nje; Beth-eseli unalia na ataondoa msaada wake kwenu; Tazama sura |