Mhubiri 7:22 - Swahili Revised Union Version22 Kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Wewe mwenyewe wajua moyoni kwamba umeapiza wengine mara nyingi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Wewe mwenyewe wajua moyoni kwamba umeapiza wengine mara nyingi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Wewe mwenyewe wajua moyoni kwamba umeapiza wengine mara nyingi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 kwa kuwa unafahamu moyoni mwako kwamba wewe mwenyewe mara nyingi umewalaani wengine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 kwa kuwa unafahamu moyoni mwako kwamba wewe mwenyewe mara nyingi umewalaani wengine. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine. Tazama sura |