Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mhubiri 7:21 - Swahili Revised Union Version

21 Tena, usitie moyoni mwako maneno yote wasemayo watu; usije ukamsikia mtumishi wako mwenyewe akikutukana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Usitie maanani maneno yote wasemayo wanadamu, usije ukamsikia mtumishi wako akikutukana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Usitie maanani maneno yote wasemayo wanadamu, usije ukamsikia mtumishi wako akikutukana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Usitie maanani maneno yote wasemayo wanadamu, usije ukamsikia mtumishi wako akikutukana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu, la sivyo, unaweza kumsikia mtumishi wako akikulaani:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu, la sivyo, waweza kumsikia mtumishi wako akikulaani:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 Tena, usitie moyoni mwako maneno yote wasemayo watu; usije ukamsikia mtumishi wako mwenyewe akikutukana.

Tazama sura Nakili




Mhubiri 7:21
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme akasema, Nina nini na ninyi, enyi wana wa Seruya? Kwa sababu yeye analaani, na kwa sababu BWANA amemwambia, Mlaani Daudi, basi, ni nani atakayesema, Mbona umetenda haya?


Akamwambia mfalme, Bwana wangu asinihesabie uovu, wala usiyakumbuke yale niliyoyatenda mimi mtumishi wako kwa upotovu siku ile alipotoka Yerusalemu bwana wangu mfalme, hata mfalme ayatie moyoni mwake.


Usimchongee mtumwa kwa bwana wake; Asije akakulaani, ukaonekana una hatia.


Kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine.


hao wamfanyao mtu kuwa amekosa katika neno, na kumtegea mtego yeye aonyaye langoni, na kumgeuza mwenye haki kwa kitu kisichofaa.


Lakini wengine wasiofaa kitu wakasema, Huyu je! Atatuokoaje? Nao wakamdharau, wasimletee zawadi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo