Mhubiri 4:15 - Swahili Revised Union Version15 Nikawaona wote walio hai waendao chini ya jua, ya kwamba walishikamana na huyo kijana, huyo wa pili aliyesimama badala ya mfalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Niliwaona watu wote waishio duniani, hata yule kijana ambaye angechukua nafasi ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Niliwaona watu wote waishio duniani, hata yule kijana ambaye angechukua nafasi ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Niliwaona watu wote waishio duniani, hata yule kijana ambaye angechukua nafasi ya mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nikaona kwamba wote walioishi na kutembea chini ya jua walimfuata kijana, aliyepokea ufalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nikaona kwamba wote walioishi na kutembea chini ya jua walimfuata kijana, aliyepokea ufalme. Tazama sura |