Mhubiri 10:4 - Swahili Revised Union Version4 Roho yake mtawala ikiinuka kinyume chako, Usiondoke mara mahali pako ulipo; Kwa maana roho ya upole hutuliza machukizo yaliyo makubwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mtawala akikuwakia hasira, usijiuzulu; makosa makubwa huweza kufutwa ukiwa mnyenyekevu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mtawala akikuwakia hasira, usijiuzulu; makosa makubwa huweza kufutwa ukiwa mnyenyekevu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mtawala akikuwakia hasira, usijiuzulu; makosa makubwa huweza kufutwa ukiwa mnyenyekevu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kama hasira ya mtawala ikiwaka dhidi yako, usiache mahali pako, utulivu huweza kuzuia makosa mengi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kama hasira ya mtawala ikiwaka dhidi yako, usiache mahali pako, utulivu huweza kuzuia makosa mengi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Roho yake mtawala ikiinuka kinyume chako, Usiondoke mara mahali pako ulipo; Kwa maana roho ya upole hutuliza machukizo yaliyo makubwa. Tazama sura |