Mhubiri 10:3 - Swahili Revised Union Version3 Naam, huyo mpumbavu tena, aendapo njiani, hupungukiwa na fahamu zake; hata humwambia kila mtu ya kuwa yeye ni mpumbavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Hata apitapo njiani, mpumbavu hutambulikana hivyo, humjulisha kila mtu kwamba yeye ni mpumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Hata apitapo njiani, mpumbavu hutambulikana hivyo, humjulisha kila mtu kwamba yeye ni mpumbavu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Hata apitapo njiani, mpumbavu hutambulikana hivyo, humjulisha kila mtu kwamba yeye ni mpumbavu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hata anapotembea barabarani, mpumbavu hukosa ufahamu na kudhihirisha kwa kila mmoja jinsi alivyo mpumbavu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hata anapotembea barabarani, mpumbavu hukosa ufahamu na kudhihirisha kwa kila mmoja jinsi alivyo mpumbavu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Naam, huyo mpumbavu tena, aendapo njiani, hupungukiwa na fahamu zake; hata humwambia kila mtu ya kuwa yeye ni mpumbavu. Tazama sura |