Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mhubiri 1:15 - Swahili Revised Union Version

15 Yaliyopotoka hayawezi kunyoshwa, Wala yasiyokuwapo hayahesabiki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Kilichopindika hakiwezi kunyoshwa, kisichokuwapo hakiwezi kuhesabiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Kilichopindika hakiwezi kunyoshwa, kisichokuwapo hakiwezi kuhesabiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Kilichopindika hakiwezi kunyoshwa, kisichokuwapo hakiwezi kuhesabiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa; kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa, kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Yaliyopotoka hayawezi kunyooshwa, Wala yasiyokuwapo hayahesabiki.

Tazama sura Nakili




Mhubiri 1:15
10 Marejeleo ya Msalaba  

Tena akuoneshe hizo siri za hekima, Ya kuwa hufanikiwa katika kuyatimiza makusudi yake! Ujue basi ya kuwa Mungu akuachilia katika uovu wako.


Akitoa utulivu yeye, ni nani awezaye kuhukumia makosa? Akificha uso wake, ni nani awezaye kumtazama? Kama hufanyiwa taifa, au mtu mmoja, ni sawasawa;


Najua ya kwamba kila kazi aifanyayo Mungu itadumu milele; haiwezekani kuizidisha kitu, wala kuipunguza kitu; nayo Mungu ameifanya ili watu wamche Yeye.


Nikageuka, na moyo wangu ulikazwa katika kujua na kupeleleza, na kuitafuta hekima, na maana ya mambo yaliyoko; ili nifahamu ya kuwa uovu ni upumbavu, na upumbavu ni wazimu.


Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipoinuka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa;


Je! Mkushi aweza kuibadili ngozi yake, au chui madoadoa yake? Kama aweza, ndipo na ninyi mwaweza kutenda mema, ninyi mliozoea kutenda mabaya.


Ni nani asemaye neno nalo likafanyika, Ikiwa Bwana hakuliagiza?


na watu wote wanaokaa duniani wamehesabiwa kuwa si kitu, naye hufanya kama atakavyo, katika jeshi la mbinguni, na katika hao wanaokaa duniani; wala hapana awezaye kuuzuia mkono wake, wala kumwuliza, Unafanya nini wewe?


Ni yupi kwenu ambaye akijisumbua aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo