Methali 9:9 - Swahili Revised Union Version9 Mwelimishe mwenye hekima, naye atazidi kuwa na hekima; Mfundishe mwenye haki, naye atazidi kuwa na elimu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mfunze mwenye hekima naye atazidi kuwa na hekima; mfundishe mwadilifu naye atazidi kuelimika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mfunze mwenye hekima naye atazidi kuwa na hekima; mfundishe mwadilifu naye atazidi kuelimika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mfunze mwenye hekima naye atazidi kuwa na hekima; mfundishe mwadilifu naye atazidi kuelimika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mfundishe mtu mwenye hekima naye atakuwa na hekima zaidi; mfundishe mtu mwadilifu naye atazidi kufundishika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Mfundishe mtu mwenye hekima naye atakuwa na hekima zaidi; mfundishe mtu mwadilifu naye atazidi kufundishika. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Mwelimishe mwenye hekima, naye atazidi kuwa na hekima; Mfundishe mwenye haki, naye atazidi kuwa na elimu; Tazama sura |