Methali 9:10 - Swahili Revised Union Version10 Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa hekima; na kumjua yule Mtakatifu ni kupata akili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa hekima; na kumjua yule Mtakatifu ni kupata akili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa hekima; na kumjua yule Mtakatifu ni kupata akili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 “Kumcha Mwenyezi Mungu ndicho chanzo cha hekima, na kumjua Aliye Mtakatifu ni ufahamu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 “Kumcha bwana ndicho chanzo cha hekima, na kumjua Aliye Mtakatifu ni ufahamu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu. Tazama sura |