Methali 6:30 - Swahili Revised Union Version30 Watu hawamdharau mwizi, Akiiba ili kujishibisha, iwapo aona njaa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Watu hawambezi sana mtu akiiba kwa sababu ya njaa; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Watu hawambezi sana mtu akiiba kwa sababu ya njaa; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Watu hawambezi sana mtu akiiba kwa sababu ya njaa; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Watu hawamdharau mwizi akiiba ili kukidhi njaa yake akiwa na njaa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Watu hawamdharau mwizi kama akiiba kukidhi njaa yake wakati ana njaa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Watu hawamdharau mwizi, Akiiba ili kujishibisha, iwapo aona njaa; Tazama sura |