Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 6:28 - Swahili Revised Union Version

28 Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto, Na nyayo zake zisiungue?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Je, waweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zako zisiungue?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Je, waweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zako zisiungue?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Je, waweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zako zisiungue?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto bila miguu yake kuungua?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto yanayowaka bila miguu yake kuungua?

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

28 Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto, Na nyayo zake zisiungue?

Tazama sura Nakili

Methali 6:28
2 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Mtu aweza kuchukua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe?

Ndivyo alivyo aingiaye kwa mke wa jirani yake; Kila mtu amgusaye huyo atakuwa na hatia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo