Methali 6:27 - Swahili Revised Union Version27 Je! Mtu aweza kuchukua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Je, waweza kuweka moto kifuani na nguo zako zisiungue? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Je, waweza kuweka moto kifuani na nguo zako zisiungue? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Je, waweza kuweka moto kifuani na nguo zako zisiungue? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Je! Mtu aweza kuchukua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe? Tazama sura |