Methali 6:16 - Swahili Revised Union Version16 Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kuna vitu sita anavyovichukia Mwenyezi Mungu, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kuna vitu sita anavyovichukia bwana, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Tazama sura |