Methali 5:13 - Swahili Revised Union Version13 Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu, Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Sikuisikiliza sauti ya waalimu wangu, wala kuwategea sikio wakufunzi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Sikuisikiliza sauti ya waalimu wangu, wala kuwategea sikio wakufunzi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Sikuisikiliza sauti ya waalimu wangu, wala kuwategea sikio wakufunzi wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Sikuwatii walimu wangu, wala kuwasikiliza wakufunzi wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Sikuwatii walimu wangu wala kuwasikiliza wakufunzi wangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu, Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha! Tazama sura |