Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 31:21 - Swahili Revised Union Version

21 Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Hawahofii watu wake ijapo baridi ya kipupwe, maana kila mmoja anazo nguo za kutosha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Hawahofii watu wake ijapo baridi ya kipupwe, maana kila mmoja anazo nguo za kutosha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Hawahofii watu wake ijapo baridi ya kipupwe, maana kila mmoja anazo nguo za kutosha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Theluji inaposhuka, hana hofu kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, kwa maana wote wamevikwa nguo za kutia joto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Theluji ishukapo, hana hofu kwa ajili ya watu wa nyumbani mwake, kwa maana wote wamevikwa nguo za kutia joto.

Tazama sura Nakili




Methali 31:21
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akawapa kila mtu nguo za kubadili; lakini Benyamini, alimpa fedha mia tatu na mavazi matano ya kubadili.


Enyi binti za Israeli, mlilieni Huyo Sauli, ambaye aliwavika Mavazi mekundu kwa anasa, Akazipamba nguo zenu dhahabu.


Amwimbiaye nyimbo mtu mwenye moyo mzito, Ni kama yeye avuaye nguo wakati wa baridi; Ni kama siki juu ya magadi.


Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.


Magari ya vita yanafanya vishindo njiani, Yanasonganasongana katika njia kuu; Kuonekana kwake ni kama mienge, Yanakwenda upesi kama umeme.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo