Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 28:7 - Swahili Revised Union Version

7 Yeye aishikaye sheria ni mwana mwenye hekima; Bali aliye rafiki wa walafi humwaibisha babaye.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Mtoto ashikaye sheria ni mwenye hekima, lakini rafiki wa walafi humwaibisha baba yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Mtoto ashikaye sheria ni mwenye hekima, lakini rafiki wa walafi humwaibisha baba yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Mtoto ashikaye sheria ni mwenye hekima, lakini rafiki wa walafi humwaibisha baba yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Yeye anayetii sheria ni mwana mwenye ufahamu, bali rafiki wa walafi humwaibisha baba yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Yeye ashikaye sheria ni mwana mwenye ufahamu, bali rafiki wa walafi humwaibisha baba yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Yeye aishikaye sheria ni mwana mwenye hekima; Bali aliye rafiki wa walafi humwaibisha babaye.

Tazama sura Nakili

Methali 28:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Apotezaye mali za babaye na kumfukuza mamaye, Ni mwana aaibishaye, na kuleta lawama.

Aibaye mali ya babaye au mamaye, na kusema, Si kosa; Mwana huyo ni rafiki wa mtu mharibifu.

Fimbo na maonyo hutia hekima; Bali mwana aliyeachiliwa humwaibisha mamaye.

Apendaye hekima humfurahisha babaye; Bali ashikamanaye na makahaba hutapanya mali.

Na baada ya siku zisizokuwa nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.

lakini, alipokuja huyu mwana wako aliyekula vitu vyako pamoja na makahaba, umemchinjia yeye ndama aliyenona.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo