Methali 27:4 - Swahili Revised Union Version4 Ghadhabu ni kali, na hasira ni gharika; Lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Ghadhabu ni katili na hasira huangamiza; lakini ni nani awezaye kuukabili wivu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Ghadhabu ni katili na hasira huangamiza; lakini ni nani awezaye kuukabili wivu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Ghadhabu ni katili na hasira huangamiza; lakini ni nani awezaye kuukabili wivu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Ghadhabu ni kali, na hasira ni gharika; Lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu. Tazama sura |