Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 26:28 - Swahili Revised Union Version

28 Ulimi unenao uongo huwachukia wale uliowajeruhi; Na kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Asemaye uongo huwachukia hao anaowaumiza, naye abembelezaye huleta maangamizi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Asemaye uongo huwachukia hao anaowaumiza, naye abembelezaye huleta maangamizi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Asemaye uongo huwachukia hao anaowaumiza, naye abembelezaye huleta maangamizi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Ulimi wa uongo huwachukia wale unaowaumiza, nacho kinywa cha kujipendekeza husababisha uharibifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Ulimi wa uongo, huwachukia wale unaowaumiza, nacho kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

28 Ulimi unenao uongo huwachukia wale uliowajeruhi; Na kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.

Tazama sura Nakili

Methali 26:28
11 Marejeleo ya Msalaba  

Naye akamwambia maneno yayo hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki.

Ili kuokoka na malaya, Naam, malaya mwenye kubembeleza kwa maneno yake;

Mwenye kujipendekeza kwa jirani yake, Hutandika wavu ili kuitega miguu yake.

Yakulinde na mwanamke mwovu, asikupate, Na kukuponya na ubembelezi wa mgeni.

Wapate kukulinda na malaya, Na mwasherati akubembelezaye kwa maneno yake.

Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Abrahamu hakufanya hivyo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo