Methali 24:26 - Swahili Revised Union Version26 Aibusu midomo atoaye jawabu la haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Jibu lililo la haki, ni kama busu la rafiki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Jibu lililo la haki, ni kama busu la rafiki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Jibu lililo la haki, ni kama busu la rafiki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Jawabu la uaminifu ni kama busu la mdomoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Jawabu la uaminifu ni kama busu la midomoni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Aibusu midomo atoaye jawabu la haki. Tazama sura |