Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 24:24 - Swahili Revised Union Version

24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Makabila ya watu watamlaani, taifa watamchukia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Anayemwachilia mtu mwenye hatia, hulaaniwa na watu na kuchukiwa na mataifa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Anayemwachilia mtu mwenye hatia, hulaaniwa na watu na kuchukiwa na mataifa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Anayemwachilia mtu mwenye hatia, hulaaniwa na watu na kuchukiwa na mataifa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Yeyote amwambiaye mwenye hatia, “Wewe huna hatia,” makabila ya watu watamlaani, na mataifa watamkana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Yeyote amwambiaye mwenye hatia, “Wewe huna hatia,” Kabila zitamlaani na mataifa yatamkana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Makabila ya watu watamlaani, taifa watamchukia.

Tazama sura Nakili




Methali 24:24
11 Marejeleo ya Msalaba  

Awanyimaye watu nafaka, watu watamlaani; Auzaye nafaka, baraka itakuwa kichwani pake.


Yeye asemaye kwamba asiye haki ana haki; naye asemaye kwamba mwenye haki hana haki; Hao wote wawili ni chukizo kwa BWANA.


Mwenye kuwagawia maskini hatahitaji kitu; Bali afichaye macho yake atakuwa na laana nyingi.


Usimchongee mtumwa kwa bwana wake; Asije akakulaani, ukaonekana una hatia.


Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na kwamba wema ni uovu; watiao giza badala ya nuru, na nuru badala ya giza; watiao uchungu badala ya utamu, na utamu badala ya uchungu!


wampao haki mwenye uovu, ili wapewe ijara, na kumwondolea mwenye haki haki yake!


Nao watatoka nje na kuitazama mizoga ya watu walioniasi; maana funza wao hatakufa, wala moto wao hautazimika nao watakuwa chukizo machoni pa wote wenye mwili.


Kwa kuwa ninyi mmemhuzunisha moyo mwenye haki kwa uongo, ambaye mimi sikumhuzunisha; na kuitia nguvu mikono ya mtu mbaya, hata asigeuke, na kuiacha njia yake mbaya, na kuhifadhika;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo