Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 24:21 - Swahili Revised Union Version

21 Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Mwanangu, umche Mwenyezi-Mungu na kumheshimu mfalme, wala usishirikiane na wale wasio na msimamo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Mwanangu, umche Mwenyezi-Mungu na kumheshimu mfalme, wala usishirikiane na wale wasio na msimamo,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Mwanangu, umche Mwenyezi-Mungu na kumheshimu mfalme, wala usishirikiane na wale wasio na msimamo,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Mwanangu, mche Mwenyezi Mungu na mfalme, wala usijiunge na waasi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Mwanangu, mche bwana na mfalme, wala usijiunge na waasi,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu;

Tazama sura Nakili




Methali 24:21
16 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana vita vilienea huko juu ya uso wote wa nchi; na siku ile huo msitu ukala watu wengi kuliko wale walioliwa na upanga.


Ndipo wageni wote waliokuwa pamoja na Adonia wakaogopa, wakaondoka, wakaenda zao kila mtu njia yake.


Basi Israeli wote walipoona ya kuwa mfalme hakuwasikia, hao watu walimjibu mfalme, wakasema, Tuna sehemu gani katika Daudi? Wala hatuna urithi katika mwana wa Yese. Haya! Nendeni zenu hemani kwenu, enyi Israeli; sasa itunze nyumba yako mwenyewe, Ee Daudi. Hivyo Israeli wakaenda zao hemani kwao.


Israeli akaiona ile kazi kubwa aliyoifanya BWANA juu ya Wamisri, ndipo hao watu wakamcha BWANA, wakamwamini BWANA, na Musa mtumishi wake.


Mtu mwovu hataki neno ila kuasi tu; Kwa hiyo mjumbe mkali atatumwa kwake.


Moyo wako usiwahusudu wenye dhambi; Bali mche BWANA mchana kutwa;


Wakamwambia, Ni ya Kaisari. Akawaambia, Basi, mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.


Uwakumbushe watu kunyenyekea kwa watawala na wenye mamlaka, na kutii, na kuwa tayari kwa kila kazi njema;


Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihi wa BWANA, neno hili, kuunyosha mkono wangu juu yake, kwa maana yeye ni masihi wa BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo