Methali 22:16 - Swahili Revised Union Version16 Yeye awaoneaye maskini ili kuongeza mapato, Naye ampaye tajiri, hupata hasara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Anayemdhulumu maskini atamfanya afaidike mwishowe, anayewapa matajiri zawadi ataishia kuwa maskini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Anayemdhulumu maskini atamfanya afaidike mwishowe, anayewapa matajiri zawadi ataishia kuwa maskini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Anayemdhulumu maskini atamfanya afaidike mwishowe, anayewapa matajiri zawadi ataishia kuwa maskini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Yeye anayemdhulumu maskini ili kujiongezea mali, naye anayempa tajiri zawadi, wote huwa maskini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Yeye amwoneaye maskini ili kujiongezea mali, naye ampaye tajiri zawadi, wote huwa maskini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Yeye awaoneaye maskini ili kuongeza mapato, Naye ampaye tajiri, hupata hasara. Tazama sura |