Methali 21:12 - Swahili Revised Union Version12 Mwenye haki huitafakari nyumba ya mtu mbaya; Jinsi wabaya waangushwavyo wakaangamia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mungu Mwadilifu anajua wanayotenda waovu nyumbani kwao; naye atawaangusha na kuwaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mungu Mwadilifu anajua wanayotenda waovu nyumbani kwao; naye atawaangusha na kuwaangamiza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mungu Mwadilifu anajua wanayotenda waovu nyumbani kwao; naye atawaangusha na kuwaangamiza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, naye atawaangamiza waovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, naye atawaangamiza waovu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Mwenye haki huitafakari nyumba ya mtu mbaya; Jinsi wabaya waangushwavyo wakaangamia. Tazama sura |