Methali 20:3 - Swahili Revised Union Version3 Mtu kujitenga na ugomvi ni heshima kwake; Bali kila mpumbavu ataka kugombana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Ni jambo la heshima kuepa ugomvi; wapumbavu ndio wanaogombana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Ni jambo la heshima kuepa ugomvi; wapumbavu ndio wanaogombana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Ni jambo la heshima kuepa ugomvi; wapumbavu ndio wanaogombana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ni kwa heshima ya mtu kujitenga ugomvi, bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ni kwa heshima ya mtu kujitenga ugomvi, bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Mtu kujitenga na ugomvi ni heshima kwake; Bali kila mpumbavu ataka kugombana. Tazama sura |