Methali 16:7 - Swahili Revised Union Version7 Njia za mtu zikimpendeza BWANA, Hata adui zake huwapatanisha naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwenyezi-Mungu akipendezwa na mwenendo wa mtu, huwageuza hata adui zake kuwa marafiki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwenyezi-Mungu akipendezwa na mwenendo wa mtu, huwageuza hata adui zake kuwa marafiki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwenyezi-Mungu akipendezwa na mwenendo wa mtu, huwageuza hata adui zake kuwa marafiki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Njia za mtu zinapompendeza Mwenyezi Mungu, huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Njia za mtu zinapompendeza bwana, huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Njia za mtu zikimpendeza BWANA, Hata adui zake huwapatanisha naye. Tazama sura |