Methali 16:6 - Swahili Revised Union Version6 Kwa rehema na kweli uovu husafishwa; Kwa kumcha BWANA watu hujiepusha na maovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kwa utii na uaminifu mtu huondolewa dhambi, kwa kumcha Mwenyezi-Mungu huepuka uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kwa utii na uaminifu mtu huondolewa dhambi, kwa kumcha Mwenyezi-Mungu huepuka uovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kwa utii na uaminifu mtu huondolewa dhambi, kwa kumcha Mwenyezi-Mungu huepuka uovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; kwa kumcha Mwenyezi Mungu mtu hujiepusha na ubaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; kwa kumcha bwana mtu hujiepusha na ubaya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Kwa rehema na kweli uovu husafishwa; Kwa kumcha BWANA watu hujiepusha na maovu. Tazama sura |