Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 14:27 - Swahili Revised Union Version

27 Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Kumcha Mwenyezi Mungu ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kumcha bwana ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

27 Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.

Tazama sura Nakili




Methali 14:27
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kamba za kuzimu zilinizunguka, Mitego ya mauti ikanikabili.


Kumcha BWANA kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa.


Sheria ya mwenye akili ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.


Kumcha BWANA ni tumaini imara; Watoto wake watakuwa na kimbilio.


Utukufu wa mfalme ni wingi wa watu wake; Bali uchache wa watu ni uharibifu wa mkuu wao.


Kumcha BWANA huelekea uhai; Atakaa ameshiba; hatajiliwa na ubaya.


Miiba na mitego huwa katika njia ya mshupavu; Yeye aitunzaye nafsi yake atakuwa mbali nayo.


Nami nimeona lililo na uchungu kupita mauti; yaani, mwanamke ambaye moyo wake ni mitego na tanzi, na mikono yake ni kama vifungo; yeye ampendezaye Mungu atamponyoka, bali mwenye dhambi atanaswa na yeye.


Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba.


Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye aliye na kiu, maji kutoka chemchemi ya maji ya uzima, bure.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo