Mathayo 6:8 - Swahili Revised Union Version8 Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba. Tazama sura |