Mathayo 6:8 - BIBLIA KISWAHILI8 Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Tazama sura |