Mathayo 5:41 - Swahili Revised Union Version41 Mtu yeyote akikulazimisha mwendo wa maili moja, nenda naye maili mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Mtu akikulazimisha kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita mbili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Mtu akikulazimisha kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita mbili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Mtu akikulazimisha kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita mbili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Kama mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Mtu yeyote akikulazimisha mwendo wa maili moja, nenda naye maili mbili. Tazama sura |