Mathayo 5:40 - Swahili Revised Union Version40 Na mtu atakaye kukushitaki na kulichukua shati lako, mwachie na koti pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Na mtu atakaye kukushitaki na kulichukua shati lako, mwachie na koti pia. Tazama sura |