Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 4:15 - Swahili Revised Union Version

15 Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, Njia ya bahari, ng'ambo ya Yordani, Galilaya ya mataifa,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 “Nchi ya Zebuluni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini ngambo ya mto Yordani, Galilaya, nchi ya watu wa mataifa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 “Nchi ya Zebuluni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini ngambo ya mto Yordani, Galilaya, nchi ya watu wa mataifa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 “Nchi ya Zebuluni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini ng'ambo ya mto Yordani, Galilaya, nchi ya watu wa mataifa!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 “Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kwenye njia ya bahari, ng’ambo ya Yordani, Galilaya ya Mataifa:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 “Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kwenye njia ya kuelekea baharini, ng’ambo ya Yordani, Galilaya ya watu wa Mataifa:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, Njia ya bahari, ng'ambo ya Yordani, Galilaya ya mataifa,

Tazama sura Nakili




Mathayo 4:15
9 Marejeleo ya Msalaba  

(basi Hiramu, mfalme wa Tiro, alikuwa amemletea Sulemani mierezi na miberoshi, na dhahabu, sawasawa na haja zake zote), ndipo mfalme Sulemani akampa Hiramu miji ishirini ya nchi ya Galilaya.


Katika siku za Peka mfalme wa Israeli akaja Tiglath-pileseri mfalme wa Ashuru, akatwaa Iyoni, na Abel-beth-maaka, na Yanoa, na Kedeshi, na Hazori, na Gileadi, na Galilaya, nchi yote ya Naftali; akawahamisha hao watu mpaka Ashuru.


Lakini yeye aliyekuwa katika dhiki hatakosa changamko. Hapo awali aliiingiza nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali katika hali ya kudharauliwa, lakini zamani za mwisho ameifanya kuwa tukufu, karibu na njia ya bahari; ng'ambo ya Yordani, Galilaya ya mataifa.


akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;


ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema,


Na makutano mengi wakamfuata, kutoka Galilaya, na Dekapoli, na Yerusalemu, na Yudea, na ng'ambo ya Yordani.


Akaanza kutoka Musa na manabii wote, akawaeleza katika maandiko yote mambo yaliyomhusu yeye mwenyewe.


Nao wakaweka Kedeshi katika Galilaya katika nchi ya vilima ya Naftali, na Shekemu katika nchi ya vilima ya Efraimu, na Kiriath-arba (ndio Hebroni) katika nchi ya vilima ya Yuda.


Tena katika kabila la Naftali, Kedeshi katika Galilaya pamoja na mbuga zake za malisho, huo mji wa makimbilio kwa ajili ya mwuaji, na Hamoth-dori pamoja na mbuga zake za malisho, na Kartani pamoja na mbuga zake za malisho; miji mitatu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo