Mathayo 4:1 - Swahili Revised Union Version1 Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Kisha Isa akaongozwa na Roho Mtakatifu wa Mungu hadi nyikani ili ajaribiwe na ibilisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Kisha Isa akaongozwa na Roho wa Mwenyezi Mungu kwenda nyikani ili akajaribiwe na ibilisi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi. Tazama sura |
Tena roho ikaniinua, ikanileta hadi katika lango la upande wa mashariki mwa nyumba ya BWANA, lililoelekea upande wa mashariki; na tazama, mahali pa kuingilia pa lango walikuwako watu ishirini na watano; na katikati yao nikamwona Yaazania, mwana wa Azuri, na Pelatia, mwana wa Benaya, nao ni wakuu wa watu.
Naye akanyosha mfano wa mkono, akanishika kwa kishungi kimoja cha nywele za kichwa changu; nayo roho ikaniinua kati ya dunia na mbingu, ikanileta katika maono ya Mungu mpaka Yerusalemu, mpaka mlango wa kuingilia ua wa ndani uelekeao upande wa kaskazini; mahali palipokuwa pamewekwa sanamu ya wivu, itiayo wivu.