Mathayo 3:13 - Swahili Revised Union Version13 Wakati huo Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani kwa Yohana ili abatizwe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Wakati huo Yesu alitoka Galilaya akafika katika mto Yordani, akamwendea Yohane ili abatizwe naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Wakati huo Yesu alitoka Galilaya akafika katika mto Yordani, akamwendea Yohane ili abatizwe naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Wakati huo Yesu alitoka Galilaya akafika katika mto Yordani, akamwendea Yohane ili abatizwe naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kisha Isa akaja kutoka Galilaya hadi Mto Yordani ili Yahya ambatize. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kisha Isa akaja kutoka Galilaya mpaka Mto Yordani ili Yahya ambatize. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Wakati huo Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani kwa Yohana ili abatizwe. Tazama sura |