Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 28:11 - Swahili Revised Union Version

11 Nao wale walipokuwa wakienda, tazama, baadhi ya walinzi waliingia mjini, wakawaambia wakuu wa makuhani juu ya mambo yote yaliyotendeka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Wale wanawake walipokuwa wanakwenda zao, baadhi ya walinzi wa lile kaburi walikwenda mjini kutoa taarifa kwa makuhani wakuu juu ya mambo yote yaliyotukia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Wale wanawake walipokuwa wanakwenda zao, baadhi ya walinzi wa lile kaburi walikwenda mjini kutoa taarifa kwa makuhani wakuu juu ya mambo yote yaliyotukia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Wale wanawake walipokuwa wanakwenda zao, baadhi ya walinzi wa lile kaburi walikwenda mjini kutoa taarifa kwa makuhani wakuu juu ya mambo yote yaliyotukia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Wale wanawake wakiwa njiani wakienda, baadhi ya wale askari waliokuwa wakilinda kaburi walienda mjini na kuwaeleza viongozi wa makuhani kila kitu kilichokuwa kimetukia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Wakati wale wanawake walikuwa njiani wakienda, baadhi ya wale askari waliokuwa wakilinda kaburi walienda mjini na kuwaeleza viongozi wa makuhani kila kitu kilichokuwa kimetukia.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Nao wale walipokuwa wakienda, tazama, baadhi ya walinzi waliingia mjini, wakawaambia wakuu wa makuhani juu ya mambo yote yaliyotendeka.

Tazama sura Nakili

Mathayo 28:11
3 Marejeleo ya Msalaba  

Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi,

Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo