Mathayo 27:65 - Swahili Revised Union Version65 Pilato akawaambia, Mna askari; nendeni mkalilinde salama kadiri mjuavyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema65 Pilato akawaambia, “Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND65 Pilato akawaambia, “Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza65 Pilato akawaambia, “Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu65 Pilato akawaambia, “Ninyi mnao askari walinzi. Nendeni, liwekeeni ulinzi kadiri mnavyoweza.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu65 Pilato akawaambia, “Ninyi mnao askari walinzi. Nendeni, liwekeeni ulinzi kadri mwezavyo.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI65 Pilato akawaambia, Mna askari; nendeni mkalilinde salama kadiri mjuavyo. Tazama sura |