Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 27:55 - Swahili Revised Union Version

55 Palikuwa na wanawake wengi pale wakitazama kwa mbali, hao ndio waliomfuata Yesu toka Galilaya, na kumtumikia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

55 Mahali hapo walikuwapo wanawake wengi wakitazama kwa mbali. Hao ndio wale waliomfuata Yesu kutoka Galilaya wakimtumikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

55 Mahali hapo walikuwapo wanawake wengi wakitazama kwa mbali. Hao ndio wale waliomfuata Yesu kutoka Galilaya wakimtumikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

55 Mahali hapo walikuwapo wanawake wengi wakitazama kwa mbali. Hao ndio wale waliomfuata Yesu kutoka Galilaya wakimtumikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

55 Wanawake wengi walikuwa pale wakitazama kwa mbali. Hawa walikuwa wamemfuata Isa tangu Galilaya ili kushughulikia mahitaji yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

55 Walikuwako wanawake huko wakiangalia kwa mbali. Hawa walikuwa wamemfuata Isa tangu Galilaya ili kushughulikia mahitaji yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

55 Palikuwa na wanawake wengi pale wakitazama kwa mbali, hao ndio waliomfuata Yesu toka Galilaya, na kumtumikia.

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:55
6 Marejeleo ya Msalaba  

Palikuwako na wanawake wakitazama kwa mbali; miongoni mwao alikuwemo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo mdogo na Yose, na Salome;

hao ndio waliofuatana naye huko Galilaya, na kumtumikia; na wengine wengi waliopanda pamoja naye mpaka Yerusalemu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo