Mathayo 27:41 - Swahili Revised Union Version41 Kadhalika na wale wakuu wa makuhani wakamdhihaki pamoja na waandishi na wazee, wakisema, Aliokoa wengine, hawezi kujiokoa mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Hali kadhalika na makuhani wakuu pamoja na waalimu wa sheria na wazee walimdhihaki wakisema, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Hali kadhalika na makuhani wakuu pamoja na waalimu wa sheria na wazee walimdhihaki wakisema, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Hali kadhalika na makuhani wakuu pamoja na waalimu wa sheria na wazee walimdhihaki wakisema, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Vivyo hivyo, viongozi wa makuhani, walimu wa Torati pamoja na wazee wakamdhihaki, wakisema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Vivyo hivyo, viongozi wa makuhani, walimu wa Torati pamoja na wazee wakamdhihaki wakisema, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Kadhalika na wale wakuu wa makuhani wakamdhihaki pamoja na waandishi na wazee, wakisema, Aliokoa wengine, hawezi kujiokoa mwenyewe. Tazama sura |