Mathayo 27:25 - Swahili Revised Union Version25 Watu wote wakajibu wakasema, Damu yake na iwe juu yetu, na juu ya watoto wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Watu wote wakasema, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Watu wote wakasema, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Watu wote wakasema, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Watu wote wakajibu, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Watu wote wakajibu, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Watu wote wakajibu wakasema, Damu yake na iwe juu yetu, na juu ya watoto wetu. Tazama sura |