Mathayo 27:20 - Swahili Revised Union Version20 Nao wakuu wa makuhani na wazee wakawashawishi makutano ili wamtake Baraba, na kumwangamiza Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Lakini makuhani wakuu na wazee wakawashawishi watu waombe Baraba afunguliwe na Yesu auawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Lakini makuhani wakuu na wazee wakawashawishi watu waombe Baraba afunguliwe na Yesu auawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Lakini makuhani wakuu na wazee wakawashawishi watu waombe Baraba afunguliwe na Yesu auawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Lakini viongozi wa makuhani na wazee wakashawishi umati wa watu kwamba waombe Baraba afunguliwe, naye Isa auawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Lakini viongozi wa makuhani na wazee wakaushawishi ule umati wa watu kwamba waombe Baraba afunguliwe, naye Isa auawe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Nao wakuu wa makuhani na wazee wakawashawishi makutano ili wamtake Baraba, na kumwangamiza Yesu. Tazama sura |