Mathayo 27:18 - Swahili Revised Union Version18 Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa ajili ya husuda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa kuwa alitambua kwamba walikuwa wamemkabidhi Isa kwake kwa ajili ya wivu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa kuwa alitambua Isa alikuwa amekabidhiwa kwake kwa ajili ya wivu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa ajili ya husuda. Tazama sura |