Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 27:10 - Swahili Revised Union Version

10 wakavitumia kwa kununua shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Mwenyezi Mungu alivyoniagiza.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Bwana Mwenyezi Mungu alivyoniagiza.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 wakavitumia kwa kununua shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:10
2 Marejeleo ya Msalaba  

Nikawaambia, Mkiona vema, nipeni ujira wangu; kama sivyo, msinipe. Basi wakanipimia vipande thelathini vya fedha, kuwa ndio ujira wangu.

Kisha BWANA akaniambia, Mtupie mfinyanzi kima kizuri, hicho nilichotiwa kima na watu hao. Basi nikavitwaa vile vipande thelathini vya fedha, nikamtupia huyo mfinyanzi ndani ya nyumba ya BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo