Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 26:71 - Swahili Revised Union Version

71 Naye alipotoka nje hadi ukumbini, mwanamke mwingine alimwona, akawaambia watu waliokuwako huko, Huyu alikuwapo pamoja na Yesu Mnazareti.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

71 Alipokuwa akitoka mlangoni, mtumishi mwingine wa kike akamwona, akawaambia wale waliokuwa pale, “Mtu huyu alikuwa pamoja na Yesu wa Nazareti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

71 Alipokuwa akitoka mlangoni, mtumishi mwingine wa kike akamwona, akawaambia wale waliokuwa pale, “Mtu huyu alikuwa pamoja na Yesu wa Nazareti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

71 Alipokuwa akitoka mlangoni, mtumishi mwingine wa kike akamwona, akawaambia wale waliokuwa pale, “Mtu huyu alikuwa pamoja na Yesu wa Nazareti.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

71 Alipotoka nje kufika kwenye lango, mjakazi mwingine alimwona, akawaambia watu waliokuwako, “Huyu mtu alikuwa pamoja na Isa Al-Nasiri.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

71 Alipotoka nje kufika kwenye lango, mtumishi mwingine wa kike alimwona, akawaambia watu waliokuwepo, “Huyu mtu alikuwa pamoja na Isa, Mnasiri.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

71 Naye alipotoka nje hadi ukumbini, mwanamke mwingine alimwona, akawaambia watu waliokuwako huko, Huyu alikuwapo pamoja na Yesu Mnazareti.

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:71
6 Marejeleo ya Msalaba  

akaenda, akakaa katika mji ulioitwa Nazareti; ili litimie neno lililonenwa na manabii, Ataitwa Mnazareti.

Akakana mbele ya wote, akisema, Sijui usemalo.

Akakana tena kwa kiapo, Simjui mtu huyu.

Muda mfupi baadaye mtu mwingine alimwona akasema, Wewe nawe u mmoja wao. Petro akasema, Ee mtu, si mimi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo