Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 26:68 - Swahili Revised Union Version

68 wakisema, Ewe Kristo, tufumbulie; ni nani aliyekupiga?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

68 wakasema, “Tubashirie basi, wewe Kristo; ni nani amekupiga!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

68 wakasema, “Tubashirie basi, wewe Kristo; ni nani amekupiga!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

68 wakasema, “Tubashirie basi, wewe Kristo; ni nani amekupiga!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

68 na kusema, “Tutabirie, wewe Al-Masihi! Ni nani aliyekupiga?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

68 na kusema, “Tutabirie, wewe Al-Masihi! Ni nani aliyekupiga?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

68 wakisema, Ewe Kristo, tufumbulie; ni nani aliyekupiga?

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:68
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wakamtemea mate usoni, wakampiga ngumi; na wengine wakampiga makofi,

Wengine wakaanza kumtemea mate, wakamfunika uso, na kumpiga makonde, na kumwambia, tabiri. Hata watumishi nao wakamchukua wakampiga makofi.

Ikawa mioyo yao iliposhangilia, wakasema, Mwiteni Samsoni, ili atufanyie michezo. Basi wakamwita Samsoni atoke gerezani, akacheze mbele yao wakamweka katikati ya nguzo mbili.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo