Mathayo 26:49 - Swahili Revised Union Version49 Mara akamwendea Yesu, akasema, Salamu, Rabi, akambusu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema49 Basi, Yuda akamkaribia Yesu, akamwambia, “Shikamoo, Mwalimu!” Kisha akambusu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND49 Basi, Yuda akamkaribia Yesu, akamwambia, “Shikamoo, Mwalimu!” Kisha akambusu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza49 Basi, Yuda akamkaribia Yesu, akamwambia, “Shikamoo, Mwalimu!” Kisha akambusu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu49 Mara Yuda akamjia Isa na kumsalimu, “Salamu, Mwalimu!” Akambusu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu49 Mara Yuda akamjia Isa na kumsalimu, “Salamu, Mwalimu!” Akambusu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI49 Mara akamwendea Yesu, akasema, Salamu, Rabi, akambusu. Tazama sura |
Ndipo Samweli akatwaa kichupa cha mafuta, akayamimina kichwani pake, akambusu, akasema, Je! BWANA hakukutia mafuta [uwe mkuu juu ya watu wake Israeli? Nawe utamiliki watu wa BWANA, na kuwaokoa kutoka kwa mikono ya adui zao; kisha hii itakuwa ishara kwako ya kuwa BWANA amekutia mafuta] uwe mkuu juu ya urithi wake.