Mathayo 26:4 - Swahili Revised Union Version4 wakafanya shauri pamoja, ili wamkamate Yesu kwa hila na kumwua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wakapanga kumkamata Isa kwa siri na kumuua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wakafanya shauri ili kumkamata Isa kwa siri na kumuua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 wakafanya shauri pamoja, ili wamkamate Yesu kwa hila na kumwua. Tazama sura |