Mathayo 26:20 - Swahili Revised Union Version20 Basi kulipokuwa jioni aliketi chakulani pamoja na wale Kumi na Wawili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kulipokuwa jioni, Yesu akakaa mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kulipokuwa jioni, Yesu akakaa mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kulipokuwa jioni, Yesu akakaa mezani pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Ilipofika jioni, Isa alikuwa ameketi mezani pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Ilipofika jioni, Isa alikuwa ameketi mezani pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Basi kulipokuwa jioni aliketi chakulani pamoja na wale Kumi na Wawili. Tazama sura |