Mathayo 26:11 - Swahili Revised Union Version11 Kwa maana siku zote mnao maskini pamoja nanyi; lakini mimi hamko nami siku zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Maskini mnao daima pamoja nanyi, lakini mimi sitakuwapo pamoja nanyi daima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Maskini mnao daima pamoja nanyi, lakini mimi sitakuwapo pamoja nanyi daima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Maskini mnao daima pamoja nanyi, lakini mimi sitakuwapo pamoja nanyi daima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Kwa maana siku zote mnao maskini pamoja nanyi; lakini mimi hamko nami siku zote. Tazama sura |