Mathayo 25:39 - Swahili Revised Union Version39 Ni lini tena tulipokuona ukiwa mgonjwa, au ukiwa kifungoni, tukakujia? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza, au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza, au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI39 Ni lini tena tulipokuona ukiwa mgonjwa, au ukiwa kifungoni, tukakujia? Tazama sura |